sw_tn/1sa/16/02.md

283 B

Nitakwendaje?

Samweli anatumia swali kusisitiza kuwa anaogopa kwenda Bethlehemu.

pamoja nawe na usema

"pamoja nawe mpaka Bethlehemu na uzungumze na watu wa huko"

na useme, 'Nimekuja kutoa dhabihu kwa BWANA

"na uwaambie watu wa huko kuwa umekwenda kutoa dhabihu kwa Bwana"