sw_tn/1sa/15/24.md

252 B

nimevunja amri ya BWANA

"Sikutii aliloliamuru Bwana"

kwa sababu niliwaogopa watu

"Kwa sababu niliwaogopa askari"

kuitii sauti yao

"kufanya kile walichokiomba"

urudi nami

Sauli na Samweli walikuwa waliongea faragha mbali na watu wengine.