sw_tn/1sa/15/22.md

790 B

Je, BWANA hufurahia sadaka za kuteketezwa na dhabihu kama ilivyo kuitii sauti yake?

Samweli alitumia swali hili kusisitiza kuwa kutii ni jambo la muhimu sana kuliko dhabihu.

Sauti ya Bwana

"Vitu ambavyo Bwana ameamuru"

Utii ni bora kuliko dhabihu

Mungu alitaka Sauli amtii kabisa kwa kuwaangamiza Waamaleki. Hakuna kilichokuwepo kwenye nchi ambacho kilifaa kwa dhabihu.

bora kuliko mafuta ya beberu

"bora kuliko dhabihu ya mafuta ua beberu kama sadaka ya kuteketezwa"

uasi ni sawa na dhambi ya uchawi

"uasi ni kama dhambi ya kufanya uchawi"

ukaidi ni sawa na uovu na udhalimu

"Kuwa mkaidi ni sawa na dhambi ya kuabudu sanamu"

umelikataa neno la Bwana

"umekataa kufanya jambo ambalo Bwana ameamuru"

amekukataa usiwe mfalme

"ameamua kuwa hautakuwa tena mfalme"