sw_tn/1sa/15/17.md

619 B

machoni pako mwenyewe

"kwa mawazo yako mwenyewe"

je, hukufanywa mkuu wa kabila za Israeli?

Samweli anatumia swali hili kumueleza Sauli ni vitu vingapi Mungu amempa. "Mungu amekufanya kuwa mtawala wa kabila za Israeli"

Kwa nini basi haukuitii ... ukafanya uovu machoni pa Bwana?

Samweli anauliza swali hili kwa kumkemea Sauli kwa kutomtii Mungu.

Sauti ya Bwana

"Vitu ambavyo Bwana ameamuru"

bali badala yake ulishikilia nyara

Samweli anamshitaki Sauli moja kwa moja kwa kutokutii.

Nyara

"Nyara" ni vitu unavyovichukua toka kwa adui.

Uovu machoni pa Bwana

"ambayo Bwana anayaona kuwa ni uovu"