sw_tn/1sa/15/12.md

299 B

Samweli aliambiwa

"mtu alimwambia Samweli"

amejijengea ukumbusho kwa ajili yake

Sauli alikuwa na kiburi

chini hadi Gilgali

Gilgali ilikuwa chini zaidi ya Karimeli.

nimetekeleza amri ya Bwana

Haipo wazi ikiwa Sauli anaelewa kuwa hakutii amri ya Mungu ya kuwaangamiza kabisa Waamaleki.