sw_tn/1sa/15/10.md

319 B

Neno la Bwana likamjia

"Bwana akasema maneno yake"

Neno la Bwana

"ujumbe wa Bwana"

Inanihuzunisha

"Nina huzuni"

aligeuka nyuma asinifuate

"Aliacha kunifuata"

hakutekeleza maagizo yangu

"hakutii yale niliyomuamuru ayafanye"

Samweli alikasirika

Samweli alikasirika kwa sababu ya kutotii kwa Sauli.