sw_tn/1sa/15/08.md

405 B

Taarifa ya jumla:

Sauli anapuuzia maeneo ambayo Bwana aliagiza yaangamizwe.

akamchukua Agagi

"akamkamata Agagi"

ncha ya upanga

"ncha ya upanga" inawakilisha jeshi la taifa la Israeli.

Sauli ... wakamwacha Agagi

Sauli hakumtii Mungu kwa kumuacha Agagi aishi.

pamoja na kondoo wazuri

Sauli hakumtii Mungu kwa kuchukua wanyama wazuri.

Hawakuangamiza

"waliviweka kwa ajili yao wenyewe"