sw_tn/1sa/15/01.md

333 B

Maneno ya Bwana

"ujumbe wa Bwana"

ukaangamize kabisa vitu vyote walivyo navyo ... ua wote mwanamme na mwanamke, mtoto na mtoto mchanga, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda

Sentensi hizi zina maana moja. Sentensi ya pili inaelezea kwa undani vitu ambavyo vinapaswa kuharibiwa.

Usiwaache

Hii inasisitiza kuharibu kila kitu.