sw_tn/1sa/14/45.md

480 B

Taarifa ya jumla:

Jeshi linamtetea na kumlinda Yonathani toka kwa Sauli.

Je, inampasa Sauli afe, ni nani aliyetekeleza ushindi huu mkubwa kwa ajili ya Israeli? Mbali na hayo

"Yonathani amekamilisha ushindi huu mkubwa. Hakika hatakufa"

Kama Bwana aishivyo

Watu wanaonesha uhakika wao kuwa hawataruhusu lolote limpate Yonathani.

hata unywele mmoja wa kichwa chake hautaanguka chini

Hii inaonesha kuwa Watu wa Israeli watamlinda Yonathani. "tutamlinda na mabaya yote"