sw_tn/1sa/14/40.md

246 B

Basi akawaambia Waisraeli wote

"Akawaambia askari wa Israeli waliokuwepo hapo"

Tuoneshe Thumimu ... wakatwaliwa ... piga kura

Wakati huo Waisraeli walitumia wawe maalumu yaliyoitwa Urimu na Thumimu katika kupokea maelekezo toka kwa Mungu.