sw_tn/1sa/14/38.md

405 B

mjue na kuona jinsi dhambi hii ilivyotokea leo

"mjue nani aliyefanya dhambi"

Watu

Hawa ni Waisraeli.

hata kama angekuwa mwanangu Yonathani, atapaswa kufa

Sauli alisema hivi kwa sababu hakuamini kuwa mwanaye Yonadhani alikuwa na makosa.

akini hakuna hata mtu mmoja miongoni mwa watu aliye mjibu neno.

Watu walikuwa kimya kwa sababu wengi wao walijua kuwa Yonathani alivunja kiapo cha Sauli.