sw_tn/1sa/14/36.md

514 B

Taarifa ya jumla:

Sauli anataka kuendelea kupigana na Wafilisti.

tusimwache hata mtu mmoja akiwa hai

"Tumuue kila mtu"

Fanya unaloona linakupendeza

Sauli aliungwa mkono na jeshi lake katika kuendeleza mapigano.

Hebu na tumkaribie Mungu mahali hapa

"kumkaribia Mungu" ni kitendo cha kutaka ushauri kwake. " hebu tumuulize Mungu la kufanya"

utawaweka katika mkono wa Israeli

"utatusaidia kuwashinda"

Lakini Mungu hakumjibu siku hiyo

Hii inadhihirisha kuwa Mungu hakuwa tayari kumsaidia Sauli.