sw_tn/1sa/14/35.md

215 B

Taarifa ya jumla:

Sauli anawaambia watu wawawekee wanyama jiwe kubwa ili kuwaua na kuwala.

Sauli akamjengea Bwana madhabahu

Haipo wazi kama Sauli alijenga madhabahu hii kwa jiwe kubwa ambalo watu walimletea.