sw_tn/1sa/14/33.md

448 B

kula pamoja na damu

Hii ilikuwa ukiukwaji wa sharia ambayo Musa alipewa kwa ajili ya taifa la Israeli.

Mmetenda isivyo haki

Sauli analishitaki jeshi lake lote kwa kutenda bila uaminifu japokuwa sio wote waliofanya hivyo.

Sasa, viringisheni jiwe kubwa kwangu

Jiwe lingewashikilia wanyama na kusababisha damu ikauke haraka kwenye miili yao.

wawachinje hapa, na kuwala

Hii ingemuwezesha Sauli kuona kuwa damu ilikauka toka kwa wanyama.