sw_tn/1sa/14/31.md

377 B

Taarifa ya jumla:

Maneno ya Yonathani yakawafanya watu wamtende Mungu dhambi katika njaa yao kuu.

Mikmashi

Hili ni jina la mji.

Aiyaloni

"Aiyaloni" ni sehemu huko Zebuloni Israeli.

Watu

Hawa ni Waisraeli.

walikula nyama zao pamoja na damu.

Walikuwa na njaa sana hivyo walikula mpaka damu. Hapa walikiuka sharia aliyopewa Munsa kwa ajili ya taifa la Israeli.