sw_tn/1sa/14/18.md

272 B

Lete hapa Sanduku la Mungu

Matoleo mapya yameandika "naivera" badala ya "sanduku la Mungu"

ghasia

"kelele nyingi na kuchanganyikiwa"

Acha kazi unayofanya

"Acha kufanya jambo unalofanya" Sauli hakutaka Ahiya aendelee kulitumia sanduku la Mungu kuulizia uelekeo"