sw_tn/1sa/14/16.md

159 B

Gibea

Hili ni jina la mji.

likitawanyika ... wakienda kule na huku

Maneno haya yanamaana sawa yakisisitiza kuwa askari walikuwa wakikimbia kila mahali.