sw_tn/1sa/14/06.md

445 B

kijana mbeba silaha wake

Kijana mdogo aliyekuwa na jukumu la kubeba silaha za bwana wake kwa ajili ya vita.

wasiotahiriwa

Hili ni neno lililotumika kuwaelezea watu ambao hawakuwa Wayahudi.

atatenda kwa niaba yetu

"atatusaidia"

hakuna kitu kiwezacho kumzuia Bwana asiokoe

"Bwana anaweza kuokoa"

kwa wengi au kwa watu wachache

"Kwa idadi yoyote ya watu"

kila kitu kilicho ndani ya moyo wako

"kila kitu unachotamani kufanya"