sw_tn/1sa/13/22.md

178 B

Taarifa ya jumla

Simulizi inaendelea:

hakukuwa na mapanga au mikuki

Hii inaelezea ni kwa nini jeshi la Sauli lilikuwa linaogopa. Hawakuwa na silaha kwa ajili ya mapigano.