sw_tn/1sa/13/17.md

208 B

Wateka nyara

Wateka nyara ni askari jeshi wanovamia vijiji vya adui zao kwa ajili ya chakula na mahitaji mengine.

Ofra, hadi nchi ya Shuali ... Bethholoni ...bonde la Seboimu

Haya ni majina ya mahali.