sw_tn/1sa/13/13.md

455 B

Taarifa ya jumla:

Sauli anamwambia Samweli kwa nini amefanya kitendo hicho kama kuhani na kutoa sadaka.

Hukuheshimu amri ya BWANA

Sauli alipaswa amsubiri Sauli afike na atoe sadaka ya kuteketezwa kwa Bwana na sio kufanya hivyo yeye.

Aliutengeneza utawala wako

"Aliuweka utawala wako" au "aliuchagua utawala wako"

utawala wako hautaendelea

"Utawala wako utakoma muda si mrefu"

mtu anayekubaliwa na moyo wake

"Mtu atakayefuata amri zake"