sw_tn/1sa/13/06.md

258 B

Taarifa ya jumla:

Wafilisti walikusanyika ili kupigana dhidi ya Israeli.

Watu

Taifa la Israeli.

watu walikata tamaa

"watu waliogopa sana"

nchi ya Gadi na Gileadi

Haya ni majina ya miji.

Walimfuata wakitetemeka

Watu walikuwa wanogopa sana.