sw_tn/1sa/13/05.md

233 B

elfu tatu ... elfu sita

"3,000 ... 6,000"

majeshi mengi kama mchanga ufukoni mwa bahari

Kundi la askari walikuwa wengi na ilikuwa ngumu kuwahesabu.

Mikimashi

Hili ni jina la mahali.

Beth aveni.

Hili ni jina la mahali.