sw_tn/1sa/13/01.md

540 B

Taarifa ya jumla:

Samweli anawakumbusha watu kumfuata Bwana.

Sauli alikwa na umri wa miaka thelathini ... juu ya Israeli

Maneno katika mistari hii yamenukuliwa toka katika vitabu vya zamani hivyo kwa matoleo ya kisasa kunaweza kuwa na tafsiri ya tofauti.

Askari waliobaki aliwarudisha nyumbani

"Aliwarudisha askari waliobaki nyumbani"

Aliwachagua watu elfu tatu

"Aliwachagua watu 3,000"

Elfu mbili walikuwa pamoja naye huko Mikmashi

"2,000 walikuwa pamoja naye huko Mikmashi"

Gibea ya Benyamini

Gibea ni jina la mji.