sw_tn/1sa/12/16.md

12 lines
360 B
Markdown

# Mbele ya macho yenu
"macho" inawakilisha watu wa taifa la Israeli.
# Je, leo si mavuno ya ngano?
Samweli anajua kuwa ni wakati wa mavuno. "Ni wakati wa mavuno na mvua hainyeshi katika wakati huu"
# Akatuma radi na mvua
Samweli anamuomba Bwana awaadhibu Israeli kwa kutaka mfalme kwa mumuomba atume mvua ya radi wakati wa mavuno ambayo itaharibu mavuno.