sw_tn/1sa/12/10.md

547 B

Wakamlilia Bwana

Hawa ni taifa la Israeli.

tumewatumikia Mabaali na Mashtorethi

Kumtumikia imetumika hapa kama kumwabudu, "waliabudu miungu ya uongo"

Mkono wa adui zako

"Nguvu au utawala wa adui zako"

Yerubu Baali

Hili ni jina la heshima na nguvu ya kupigana na Mungu wauongo.

Bwana akawatuma ... na akawapa ushindi

Samweli anasimulia simulizi ya namna ambavyo Mungu alifanya baada ya watu kutubu dhambi zao na kuomba msaada.

Yerubu Baali, Bedani, Yefta na Samweli

Haya ni majina ya baadhi ya waamuzi ambao Mungu aliwainua.