sw_tn/1sa/10/11.md

837 B

Kitu gani kimempata mtoto wa Kishi?

Hii inaweza kuwa na maana ya 1) watu wanauliza ili kupata taarifa au 2) yaweza kuwa Swali linaloonesha kuwa Sauli sio wa muhimu. "Kishi sio mtu wa muhimu hivyo haiwezekani mtoto wake akawa nabii"

Mwana wa Kishi

"Sauli, mwana wa Kishi"

Na ni nani baba yao?

Swali hili linawakumbusha watu kuwa kuwa nabii haina uhusiano na baba yako ni nani. "Haijalishi Manabii hawa wazazi wao ni akina nani"

Kwa sababu ya jambo hili, ukawapo msemo, "Hivi Sauli naye ni mmoja wa manabii?"

"Na hii ndiyo sababu, wakati ambapo watu hawakuamini baadhi ya taarifa walifikiri juu ya kilichotokea kwa Sauli na kusema 'Hivi Sauli naye ni mmoja wa manabii?'"

Hivi Sauli naye ni mmoja wa manabii?

Kwa Sababu Sauli ni mmoja wa manabii watu walifikiri kuwa hata watu wasiokuwa na umuhimu wanaweza kuwa manabii.