sw_tn/1sa/09/22.md

207 B

Ukumbini

Mwandishi anaonesha kuwa karibu na sehemu ya kutolea dhabihu kulikuwa na jengo kubwa ambalo watu walikuwa wakila pamoja huko.

mahali pa heshima

"Hiki ni kiti cha heshima"

thelathini

"30"