sw_tn/1sa/09/07.md

280 B

twaweza kumpelekea nini?

Kupeleka zawadi ni alama ya heshima kwa mtu wa Mungu.

Mtu wa Mungu

Mara nyingi humaanisha nabii wa Bwana. "Mtu anayesikia na kusema maneno toka kwa Mungu"

robo ya shekeli

Robo ya shekeli ni aina ya fedha ambayo ilitumika katika agano la kale.