sw_tn/1sa/09/05.md

254 B

nchi ya Sufu

Hili ni eneo katika Israeli kaskazini mwa Yerusalemu.

Mtu wa Mungu

Mara nyingi humaanisha nabii wa Bwana. "Mtu anayesikia na kusema maneno toka kwa Mungu"

tupitie wapi katika safari yetu

"tupite njia gani ili tuwapate punda wetu"