sw_tn/1sa/09/01.md

513 B

Taarifa ya jumla

Mwandishi anatupa taarifa ya jumla katika mistari hii.

mtu mashuhuri

Mtu ambaye watu wanamuheshimu na wanasikiliza anachokisema.

Kishi ... Abieli ... Zerori ... Bekorathi ... Afia

Haya ni majina ya wanaume katika ukoo ya familia ya sauli.

Mbenyamini

Mbenyamini ni mtu anayetoka katika kabila la Wabenyamini.

mzuri wa uso

Mtu mwenye muonekano mzuri.

Kutoka mabegani kwenda juu alikuwa mrefu kuliko watu wengine

Watu wengine warefu katika Israeli hawakumfikia mabegani wake.