sw_tn/1sa/08/16.md

422 B

Taarifa ya jumla:

Samweli anaendelea kuwaambia vitu ambavyo mfalme atavichukua.

moja ya kumi ya mifugo yenu

Watagawanya mifugo yao katika mafungu kumi yaliyosawa kisha kutoa fungu moja maafisa wa mfalme na watumishi.

mtakuwa watumwa wake

"mtahisi kama vile nyie ni watumwa wake"

Mtalia

Yaweza kuwa na maana ya 1)watu watamuomba Bwana awaokoe toka kwa mfalme au 2) watu watamuomba mfalme aache kuwanyanyasa.