sw_tn/1sa/08/08.md

211 B

Niliwatoa Misrai

Hiki ni kitendo cha Bwana kuwatoa Waisraeli utumwani Misri miaka mingi iliyopita.

Sasa wasikilize

"Sasa fanya kama vile wanavyokuomba ufanye"

Waonye sawasawa

"uwe makini unapowaonya"