sw_tn/1sa/08/04.md

436 B

hawaenendi katika njia zako

"hawafanyi vitu unavyofanya" au "hawafanyi kama vile unavyofanya wewe"

Tuchagulie mfalme wakutuamua kama yalivyo mataifa yote

Hii yaweza kuwa na maana ya 1) "Tuchagulie mfalme kama wafalme wa mataifa yote ili atuamue" au Tuchagulie mfalme atakayetuamua kama wafalme wa mataifa wanavyowaamua wao"

Tuchagulie mfalme wakutuamua

Viongozi waliamini vibaya kuwa mfalme na wana wake wataongoza kwa haki.