sw_tn/1sa/07/15.md

163 B

Wakazunguka

Wakasafiri toka sehemu moja mpaka nyingine kwa kuzunguka.

Aliamua migogoro

Migogoro ni malumbano au kutokuelewana kati ya watu wawili au zaidi.