sw_tn/1sa/07/09.md

169 B

ndama mchanga

Ndama ambaye bado ananyonya maziwa ya mama yake.

Akamlilia

Akaomba msaada

Bwana akamjibu

Bwana akafanya yale ambayo Samweli alimuomba ayafanye.