sw_tn/1sa/07/05.md

272 B

Israeli wote

"Watu wote wa Israeli" au "Waisraeli wote"

Kumwaga chini mbele za Bwana

Hii yaweza kuwa na maana ya 1) watu walijinyima maji kama sehemu ya kufunga au 2) walitoa maji visimaji na kuyamwaga chini kama ishara ya kuonesha namna gani wanajutia dhambi zao.