sw_tn/1sa/07/03.md

232 B

Nyumba yote ya Israeli

"Nyumba" inamaanisha watu wanaoishi ndani ya nyumba na uzao wao. "Uzao wote wa Israeli" au "watu wote wa Israeli"

Kumrudia Bwana kwa moyo wenu wote

"Kujitoa moja kwa moja kumuabudu na kumtii Bwana tuu"