sw_tn/1sa/06/19.md

651 B

walichungulia ndani ya sanduku

Sanduku lilikuwa takatifu sana na hakuna mtu aliyeruhusiwa kulitizama nadani. Makuhani tuu ndio walioruhusiwa.

Aliwaua watu sabini

"Aliwaua watu 70"

Je, ni nani awezaye kusimama mbele ya BWANA, huyu Mungu mtakatifu?

Yaweza kuwa na maana ya 1) Hakuna mtu anayeweza kushindana na Bwana kwa sababu ni mtakatifu. au 2) Yatupasa kumtafuta mtu atakayemtumikia Bwana kama Kuhani, je nani kati yetu anastahili?

Atapanda kwenda kwa nani kutoka kwetu?

Hili ni swali ambalo watu wanatafuta majibu. Yaweza kuwa na maana ya 1) "Bwana atakwenda kwa nani kutoka kwetu?" au 2) "sanduku litakwenda kwa nani kutoka kwetu?"