sw_tn/1sa/06/14.md

557 B

Kulikuapo jiwe kubwa mahali hapo

Jiwe hili ndilo jiwe lililotumika kama madhabahu walipotoa sadaka ya ng'ombe kama dhabihu.

Walawi walilitelemsha chini sanduku la Bwana

Hii ilitokea baada ya kutayarisha kuni zilizotokana na mkokoteni na kutengeneza moto uliotumika kutolea sadaka ya ng'ombe kwa Bwana.

Walawi walilitelemsha chini sanduku

Kutokana na sheria za Musa Walawi tuu ndio walioruhusiwa kulishughulikia sanduku.

pamoja na kasha lake lililoyatunza yale maumbo ya dhahabu,

"kasha ambalo maumbo ya dhahabu ya panya na majipu yalikuwepo"