sw_tn/1sa/06/05.md

1.1 KiB

Mifano

Mifano ni kitu kinachofanana na kitu fulani.

Majipu

Ni ugonjwa wa ngozi.

Panya

Hapa anaelezea panya zaidi ya mmoja.

ambayo huiharibu

"ambayo huangamiza"

Mungu wa Israeli

Yaweza kuwa na maana ya 1) walikuwa wakizungumza juu ya jina kamili la Mungu wa Israeli au 2) waliamini kuwa Israeli waliabudu moja kati ya miungu mingi.

ataondoa mkono wake kutoka juu yenu, kutoka juu ya miungu yenu, na kutoka juu ya nchi yenu.

ataondoa mkono wake kutoka juu yenu, kutoka juu ya miungu yenu, na kutoka juu ya nchi yenu. "ataacha kuwaadhibu ninyi na miungu yenu na nchi yenu."

Kwanini mfanye mioyo yenu kwa migumu, kama vile Wamisri na Farao walifanya mioyo yao kuwa migumu?

Makuhani na waganya wanatumia swali ili kuwafanya Wafilisti wafikirie kwa makini juu ya kile kitakachowapata ikiwa watakataa kumtii Mungu.

Kuifanya mioyo yenu kuwa migumu.

"kuacha kumtii Mungu"

Je, Wamisri hawakuwaachilia watu, na wakaondoka?

Hili swali limetumika kuwakumbusha Wafilisti kuwa Wamisri waliwaruhusu Waisraeli watoke Misri ili Mungu aache kuwaadhibu Wamisri.