sw_tn/1sa/05/06.md

417 B

Mkono wa Bwana ulikuwa mzito juu ya

"Bwana aliwahukumu sana"

majipu

Huu ni ugonjwa wa ngozi.

Ashdodi na wilaya zake kwa pamoja

"Watu wote wa Ashdodi na watu wa nchi inayozunguka Ashidodi"

walipotambua

"walipofahamu"

sanduku la Mungu wa Israeli

Yaweza kuwa na maana ya 1) walikuwa wakizungumza juu ya jina kamili la Mungu wa Israeli au 2) waliamini kuwa Israeli waliabudu moja kati ya miungu mingi.