sw_tn/1sa/05/04.md

411 B

Dagoni alikuwa ameanguka

Msomaji anatakiwa atambue kuwa Bwana alisababisha Dagoni aanguke.

Kichwa cha Dagoni na vitanga vyake viwili vilikatika na kulala

Ilikuwa kama vile Bwana ni askarialiyewashinda adui zake na kuwakata kichwa na mikono.

Mikono

Vitanga vya mikono vimanaanisha mikono yote.

Na hii ndiyo sababu, hata leo

Mwandishi anatuelezea taarifa na kutenganisha na simulizi inayosimuliwa.