sw_tn/1sa/04/07.md

811 B

Wakasema ... wakasema

Wafilisti walisemezana wao kwa wao. "walisemezana wao kwa wao... walisemezana wao kwa wao"

mungu ameingia

Wafilisti waliabudu miungu mingi hivyo waliamini kuwa moja kati ya miungu ambayo hawakuiabudu alikuja kambini. Walikuwa wakizungumza juu ya Mungu wa Israeli. Baadhi ya tafsiri zinasomeka "Mungu ameingia"

miungu yenye nguvu ... miungu inayoshambulia

Kwa sababu neno mungu (au Mungu) katika sura ya 4:7 ni umoja tafsiri nyingi zimeandika "mungu mwenye nguvu ... mungu anayeshambulia" au "Mungu mwenye nguvu ... Mungu anayeshambulia" tumia jina sahihi la Mungu wa Israeli.

Ni nani atatulinda dhidi ya nguvu za Mungu mwenye uwezo?

Swali hili linaonesha hisia za uoga. "Hakuna mtu atakayetulinda na Mungu huyu mwenye uwezo."

Kuweni wanaume

"kuweni na nguvu na mpigane"