# Neno alilosema
"ujumbe alioutoa Bwana"
# Mungu akutendee hivyo na kukuzidishia
Hii inaonesha ni kwa namna gani Eli alikuwa anasisitiza "Mungu akuadhibu sawasawa na alivyosema ataniadhibu na hata zaidi"