sw_tn/1sa/03/05.md

169 B

Mwanangu

Eli hakuwa baba yake na Samweli. Eli anazungumza kama vile yeye ndiye baba yake na Samweli kuonesha kuwa hajamkasirikia lakini Samweli anapaswa kumsikiliza.