sw_tn/1sa/02/31.md

338 B

Tazama

"Sikiliza kwa makini ninayotaka kuzungumza" au "ninayotaka kuzungumza ni ya muhimu sana"

Nitaondoa nguvu zako na nguvu za nyumba za baba yako

"Nitakuua wewe pamoja na vijana wtote wenye nguvu wakiume wa uzao wa familia yako"

Nitasababisha macho yenu yashindwe

"nitasababisha mshinwe kuona" au "ntasababisha muwe vipofu"