sw_tn/1sa/02/20.md

218 B

sababu ya ahadi yake aliyoitoa kwa Bwana

Hana alimuomba Bwana ampe mtoto na aliahidi kuwa atamtoa mtoto amtumikie katika hekalu.

Mbele za Bwana

Mahali ambapo Bwana atamuona na Samweli atajifunza mambo ya Bwana.