sw_tn/1sa/01/21.md

351 B

Nyumba yake

"Nyumba" inamaanisha watu wanaoishi ndani ya nyumba. "Familia yake"

Aache kunyonya

Kuacha kunywa maziwa na kuanza kula vyakula vyenye kimimimika.

ahudhurie mbele za BWANA na akae huko daima

Hana alimuahidi Mungu kuwa atamruhusu Samweli aishi na kufanyakazi na Eli katika hekalu.

kumnyonyesha mtoto

"kumpa mtoto wake maziwa"