sw_tn/1sa/01/17.md

239 B

Kisha Eli akamjibu

Eli akiliwa kuhani mkuu aliyeishi katika maskani.

Mjakazi wako

Hana anajizungumzia mwenyewe kwa kuonesha unyenyekevu na heshima kwa Eli kuhani mkuu.

na kula; uso wake

Hapa "uso wke" inamaanisha Hana mwenyewe.